Nyumba ina uzwa ipo Njia ya Goba uki tokea masana kituo kwasanja kutoka tangi bovu karibu sana# kutoka kwenye nyumba hadi lami mita300 tuu ukubwa wa kiwanja sq1500 hati imenyoka/ Nyumba ina room 5 room master ina uzwa milioni 500 ml maongezi yapo
Naongea namwenyewe tupigie 0693658932


