𝐊𝐢𝐥𝐚 𝐌𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐍𝐝𝐨𝐭𝐨 𝐘𝐚 𝐊𝐮𝐦𝐢𝐥𝐢𝐤𝐢 𝐊𝐈𝐖𝐀𝐍𝐉𝐀 𝐩𝐢𝐚 𝐀𝐧𝐚𝐧𝐝𝐨𝐭𝐨 𝐘𝐚 𝐊𝐮𝐚 𝐍𝐚 𝐇𝐀𝐓𝐈 𝐌𝐈𝐋𝐈𝐊𝐈 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐖𝐀𝐍𝐉𝐀 𝐂𝐇𝐀𝐊𝐄!!!
Mwenye Hati Ndo Mwneye KIWANJA!!
MIRADI ILIYOPO SOKONI (𝐊𝐈𝐆𝐀M𝐁𝐎𝐍𝐈)🍃🍃💥💥💥💥
📌𝐌𝐁𝐔𝐓𝐔 𝐁𝐄𝐀𝐂𝐇 𝐒𝐈𝐃𝐄
📌𝐌𝐂𝐇𝐈𝐊𝐈𝐂𝐇𝐈𝐍𝐈
📌𝐂𝐇𝐄𝐊𝐀 𝐌𝐈𝐍𝐎𝐍𝐃𝐎
📌𝐂𝐇𝐄𝐊𝐀 𝐒𝐈𝐋𝐕𝐄𝐑 𝐂𝐈𝐓𝐘
📌𝐂𝐇𝐄𝐊𝐀 𝐀𝐕𝐈𝐂 𝐓𝐎𝐖𝐍
📌𝐊𝐈𝐌𝐁𝐈𝐉𝐈 𝐂𝐄𝐍𝐓𝐑𝐄
📌𝐊𝐈𝐌𝐁𝐈𝐉𝐈-𝐁𝐎𝐇𝐀𝐑𝐈
📌𝐌𝐎𝐑𝐈𝐒
📌𝐏𝐔𝐍𝐀 𝐁𝐄𝐀𝐂𝐇 𝟐
📌𝐁𝐔𝐘𝐔𝐍𝐈
📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌
NGETA SGR MLANDIZI[KIBAHA]
1.Viwanja vipo ndani ya Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mlandizi-Kibaha.
2.Viwanja vipo Km.12 kutoka Barabara kuu ya Morogoro.
3.Viwanja vipo pembeni mwa reli ya kisasa ya [SGR] na reli ya zamani [MGR].
4.Viwanja vipo karibu na eneo la uwekezaji wa Biashara na Viwanda la SAMIA SULUHU INDUSTRIAL PARK.
5.Viwanja vipo karibu na Bandari Kavu ya Kwala.
6.Viwanja vipo karibu na Kiwanda cha Nondo cha Kiluwa.
7.Viwanja vipo karibu na Station Kubwa ya Abiria ya Soga na Ruvu.
8.Viwanja vipo karibu na Karakana Kubwa ya Kuunganisha Mataluma ya Reli[Marshalling Yard].
9.Matumizi ya Viwanja ni Makazi,Biashara,Viwanda,Hospital,na Huduma nyingine za Kijamii.
10.Miundombinu ya Barabara,Umeme na Maji vinapatikana.Bei za Viwanja:
Makazi, square metre moja ni Tsh.3000
Makazi na Biashara,square metre moja ni Tsh.3500
Viwanda,square metre moja ni Tsh.5000 Viwanja vya makazi vipo vya square metre kuanzia 300,500,600 na kuendelea au kuunganisha blocks.
Viwanja kwa ajili ya Viwanda ni kuanzia square metre 38,000 mpaka 48,000 tupigie 0693658932.
⬜⬜⬜⬜⬜⬜⬜⬜🛑⬜🛑⬜🛑⬜🛑⬜🛑
Mradi upo Bagamoyo fukayosi
Unalipia elfu 60 Kwa mwezi ndani ya miezi 36 malipo cash na installment njoo ulipie huku vinaishi ofisi zetu zipo buguruni malapa karibu na shule ya viziwi tupigie 0693658932.

