Pagara tunauza loc pugu
April 29, 2023
0
Nyumba Inauzwa milioni ipo pugu kajiungeni manispaa ya ilala Dar es salaam. Vyumba vitatu sitting room chumba kimoja master jiko dining room na public toilet. Nyumba Ipo kwenye mtaa. Pia huduma zote za jamii zipo karibu. Pia karo la choo Tayari limejengwa. Kiwanja sqm. 400 Hati ya mauziano ya ofisi ya serikali ya mtaa tupigie 0693658932.



