Ndugu mteja kuwa makini matapeli
June 10, 2023
0
Ndugu mteja kuweni makini matapela wanaojita yeye ni wakala au dalali wanavigezo hivyo wakuwa Wakala au dalali wana elimu iyo kazi bari ni matapela wanafanya kazi za watu kwakuwa wana kuelimu iyo ya kazi iyo kuna cos zipo zinatolewa online real estate economic vigezo na mashart kuzingatiwa kuanzia levo za elimu kama yeye wakala au dalali mwambie kwamba kile nacho kuhudumia kwanza mwambie kuonyeshe ofisi yake pia kupe leseni yake na risiti ya machine vfd kwa kile alichokuhudumia Ahsante sana.

