sheli inauzwa Ipo Goba Ina tenki mbili na Kila tenki Ina Lita 26400 kwaiyo. Tenki zipo mbili bei ml 750 na eneo Lina sqmt 1600 Bado inafanya kazi Ina hati miliki haijakopewa Wala Nini na inauzwa Sana kama kawaida kalibuni. Sana ninaongea. Na tajili Moja kwa Moja. Haina konakona tupigie 0693658932,0654658932.




