*Shamba la Hekari 100 linauzwa Nduruma Arusha*
*Distance* Shamba lipo KM 17 kutoka Arusha mjini
-Shamba lina maji ya mto pamoja na kisima cha kisasa kipindi chote cha mwaka *(Linafaa kwa kilimo cha umwagiliaji)*
-Shamba linafaa kwa kilimo cha matunda, mbogamboga na mazao yote.
-Document; Title deed tupigie 0693658932.
*Bei shilingi milioni 10 kwa kila Hekari maongezi kidogo*






