Hello, Habari wateja wetu kampuni ya lichena general company iliyopo buguruni malapa karibu na shule ya viziwi mtaa wa viziwi tunawakaribisha siku ya kesho Jumamosi tarehe 14/7/2023 kwenda kutembelea miradi yetu ya viwanja, safari itaanzia hapa offcen kwetu buguruni malapa kuelekea maeneo yafuatayo
-KIBAHA PANGANI
-KILUVYA MAKURUNGE
-KILOMO BAGAMOYO
KARIBU SANA MUDA NI KUANZIA SAA 3:30 ASUBUHI NA KUENDELEA

